Msaada kwa aliyewahi kufanya interview Mwalimu Nyerere University
Habari za asubuhi members, Naomba msaada kwa ambaye ameshafanya interview na Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology(MJNUAT) kwa nafasi ya INSTRUCTOR GRADE I kada yoyote, namna maswali...
View ArticleKubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
View ArticleFursa- ujasiriamali, Kuprint majina kwenye jezi za soka kisasa
Habari wadau. Najua vijana wengi kuna mwamko wa kijasiriamali, kuna mashabiki wengi wa mpira nchini ambao wanapendelea kuvaa jezi za timu zao za ulaya, mitaani, vyuoni, mikoani etc. binafsi nimejiajiri...
View ArticleNaomba kuulia, hii Echo-Aid ni kampuni halali?
Mke wangu aliomba nafasi ya kazi iliyokuwa posted kwenye mtandao wa zoomtanzania.com. Ilikuwa inatangazwa na echo-aid (Echo Aid Fund – Humanitarian Assistance). Kwenye zoom walisema wapo based Dar...
View ArticleUsaili kwa nafasi za kazi EWURA lini
Wanajamvi , eti kuna yoyote mwenye taarifa kuhusiana na shortlisting kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na EWURA April
View ArticleTaarifa kutoka JKT kuhusu usaili wa vijana wenye taaluma ya Uandishi wa Habari
View attachment 344143
View ArticleMsaada tafadhali!
Kwa wakazi wa Mwanza,Mimi ni binti wa miaka 24.....Naomba kwa yeyote anaejua wapi naweza pata kibarua japo kwa siku iwe kiwandani au sehemu yoyote ile anijulishe,sibagui Kazi!Natanguliza shukrani
View ArticleMatofali ya kisasa interlocking blocks(hydrafoam) kwa anayehitaji
Kwa makandarasi, wafanyakazi na wafanyabiashara wa kada zote na Taasis za serikali na binafsi Matofali haya ni ya kisasa kwani ya gharama nafuu kwa ujenzi wa nyumba za kisasa Matofali yana mchanganyiko...
View ArticleHuyu dada anatafuta kazi kwenye makampuni ya usafi
Aisee wakuu vip kuna m baby mmoja amekuwa akitafuta sana kazi. Ila kwa kweli elimu yake std 7 sasa aliponifuta leo mi nikamuambia hapo labda niangalie utaratibu wa kampuni za usafi hizi huku maofisini....
View ArticleKazi vs Ujasiliamali
Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu ​Kumekuwepo na wimbi la watu wengi sana kufanya uamuzi wa kuingia kwenye ujasiriamali…kuachana na ajira...
View ArticlePata ajira bila kufanya Interview
Habari wana jamii forum,ile kampuni bora kwa uchimbaji wa visima (Tawa Water Proffesional) inatangaza nafasi za kazi kwa wale wataopenda kufanya kazi na sisi. Kikubwa utaitajika kutafuta wateja...
View ArticleMachine Operators Needed In Bagamoyo
Job Description A European based food processing company with a branch in Tanzania is looking for very well experienced machine operators with good problem-solving skills. The place of work will be...
View ArticleNafasi za Ajira Zilizotangazwa Katika Magazeti na Mitandaoni leo tarehe 07...
Jop Opportunities at Standard Chartered Bank, Application Deadline: 08 May 2016 Job Opportunities at Acacia Mining, Apply Before: 20 May 2016 Job Opportunities at YETU Microfinance PLC, Application...
View ArticleInterview walter reed Mbeya program, wanaita lini?
Mwenye taarifa za hawa jama interview yao ni lini?
View ArticleData entry Sage Pastel Software
Anatafutwa data entry cum Cashier anayejua vizuri kutumia hii software hasa upande wa inventory management. Ofisi iko maeneo ya Kimara wilaya ya Kinondoni Sifa: Astashahada/ stashahada/shahada ya...
View ArticleANAHITAJIKA KIJANA WA KAZI
Anahitajika kijana wa kazi za shambani. Awe ni kijana mchapakazi na awe wa kiume umri usiozidi miaka 20. Na awe ni mkazi wa mikoa ya Arusha ama Kilimanjaro. Kama una ndugu yako au mdogo wako ama jirani...
View ArticleNHIF wanaita lini?
Habari zenu wote! Mi nauliza vipi hawa NHIF majibu wanatoa lini Yale tulifanya pale DUCE tar 11 mwezi wa tatu, mwenye taarifa zaidi atujuze.
View ArticleKijana form six mwenye uchungu wa maisha anahitajika haraka kwa sales job
Hi! Anahitajika kijana mmoja haraka, aliemaliza form six, anaeishi hapa dar, kwa kazi ya sales agent wa IT software na hardware za kampuni yetu kwa makampuni mengine. Atapewa nauli kila wiki na akiuza...
View ArticleJob vacancies... Nafasi za Kazi
Kibaigwa Flour Supplies ni Kampuni inayokua kwa haraka inayojishughulisha na KILIMO cha kibiashara tangu 2005, inatangaza nafasi 5 za kazi kwa Watanzania wenye sifa waweze kujaza haraka. Nafasi 6: a,...
View ArticleNAFASI ZA KAZI Tanzania!
Kibaigwa Flour Supplies ni Kampuni inayokua kwa haraka inayojishughulisha na KILIMO cha kibiashara tangu 2005, inatangaza nafasi 5 za kazi kwa Watanzania wenye sifa waweze kujaza haraka. Nafasi 6: a,...
View Article