Habari wadau.
Najua vijana wengi kuna mwamko wa kijasiriamali, kuna mashabiki wengi wa mpira nchini ambao wanapendelea kuvaa jezi za timu zao za ulaya, mitaani, vyuoni, mikoani etc.
binafsi nimejiajiri kwenye hizi shughuli muda mrefu na ningependa kuwa na agent wengi hasa mikoani ambao sina operations, hii itanisaidia sana kupunguza cost zaidi kipindi napoagiza herufi na namba za premier league UK, China, Malaysia etc, Maana Bulk purchase is always cheap na hata kutransport mzigo mkubwa...
Fursa- ujasiriamali, Kuprint majina kwenye jezi za soka kisasa