Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Msaada kwa aliyewahi kufanya interview Mwalimu Nyerere University

$
0
0
Habari za asubuhi members,

Naomba msaada kwa ambaye ameshafanya interview na Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology(MJNUAT) kwa nafasi ya INSTRUCTOR GRADE I kada yoyote, namna maswali ya written interview yanavyoletwa ikiwezekana na sample za hayo maswali please, nina interview nao hao jamaa next week.

Siku njema

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>