CISA Review Class Starts on 02/05/2016
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start on 02/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5 weeks,...
View ArticleKwa anaewafahamu hawa
Wanaitwa EBI Consultancy, do these guys exist for real, nakumbuka majuzi walitoa post za interns
View ArticleNifahamisheni kuhusu hii CPC Score
Habari zenu wakuu, Kuna sehemu nili apply nafasi ya kazi, nimetumiwa email na wamesema niwatumie hiyo psychometric CPC score, Ni nini hiyo kitu wakuu? Ni kipimo cha hospital au? Shukran
View ArticleKuitwa kwenye Usaili NHIF
Wadau kwa wale walioomba nafasi mbalimbali NHIF mwaka jana November hatimae hilo lundo linaloitwa orodha fupi limetangazwa. Tembelea tovuti ya NHIF ujipatie kuona. Natanguliza shukrani! LINK: CALL FOR...
View ArticleMsaada wa maswali ya written interview utumishi kada ya compliance officer II
kama kuna yeyote mwenye kujua maswali wanayouliza hawa jamaa kwa hii kada ya compliance officer anijuze tafadhali
View ArticleMsaada: Ni ofisi gani naweza pata idadi ya wafanyakazi wa serikali katika...
Habari za kazi wapendwa, Naomba kujuzwa haya ndugu zangu: 1.Ni ofisi gani ninaweza kupata idadi ya watumishi wa serikali katika wilaya husika 2. Ni ofisi gani naweza pata idadi ya taasisi za...
View ArticleMtaalamu wa kukadiria kiasi cha material ya ujenzi
Una mchoro wa nyumba? Unataka kujua kiasi cha material ya kujengea ili ujipange vizuri? Yaani idadi ya mifuko ya simenti,nondo,kokoto,mchanga,tofali,mabati,mbao za kupaua n.k Usiumize kichwa mtalaam...
View ArticleLe Mutuz atangaza nafasi za ajira kwa vijana
Yule bigwa wa all social media Tanzania, Kipenzi cha wabebezz, Le Mashati kubwazzz Le Big Thinker, Le CEO wa New Swahili Television Leo kupitia account yake ya IG ametangaza kuwapa ajira vijana walioko...
View ArticleNMB interview western zone
Wana jamvi, naulizia kama kuna kuna alieitwa kwenye hizi nafasi kwa wale waliioomba, naskia wanapiga sim tena kwa namba ya mobile
View ArticleUtumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview
Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview
View ArticleSwali kwa UHAMIAJI na kwa anaejua yoyote
Swali Langu, Kamishna Mkuu wa Uhamiaji alitangaza Ajira:October,2015 na walioomba hawajaitwa kwenye usaili mpaka Leo wala kutoa majina yao ghafla Kamishna kasimamishwa kazi Je? watoto waliotuma maombi...
View ArticleVijana unganisheni Idea zenu mjiajiri katika sekta binafsi
Imekua sasa ni desturi kwa kila kijana kufikiria kuajiriwa katika serikali au makampuni binafsi. Nadhani ifike mahali wakae chini wachange mawazo na kujiajiri binafsi yaani self employment, kwa mfano...
View ArticleAdvanced Excel & Tally ERP 9 Training in Mwanza
The Computer Skills ( ComSkills) tutaendesha mafunzo ya "ADVANCED EXCEL & Tally ERP 9" Tarehe:27/06 - 01/07/ 2016 Ukumbi: PPF Plaza, 5 floor- Open University Executive Room,Mwanza-City Center...
View ArticleI'm a private Guitarist & Singer, I'm looking for Gigs
Hi Guys, I'm Cosby, my artistic name. I sing & play Guitar in tour Lodges (during Dinner Table times) & Homes (say you're a Couple, I come and sing/play my Guitar live with most famous Love...
View ArticleNafasi ya kazi Arusha
Msichana mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta Kazi yoyote iliyo ya halali, ikiwa mkoa wa Arusha itakuwa vizur zaidi. NB: Sichagui kazi ilimradi iwe ya halali
View ArticleAm looking for a professional documentary filmmaker
Dear Great thinkers Am looking for a professional documentary filmmaker for our youth project in Southern Tanzania Here are the details: -Should have experience of this work -Should be able to share...
View ArticleCertified Information Systems Auditor (CISA) Review Class
Ndugu wana Jamii Forums.. True Ink Associates would like to Announce that the Sixth (6) CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled to commence on Monday 14/03/2016, Dar Es...
View ArticleJob Job Job Opportunity
Are you a Tanzanian aged between 25yrs-44yrs? Are you a holder of a Bachelor's degree in any field related to Finance, Statistics, Economics, Commerce, Humanities, Social Sciences, Administration,...
View Article