Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu
Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu
Kumekuwepo na wimbi la watu wengi sana kufanya uamuzi wa kuingia kwenye ujasiriamali…kuachana na ajira zao za serikali au mashirika binafsi walioajiriwa. Wengine huamua kufanya kazi za kuajiriwa na ujasiriamali kwa wakati mmoja, wengine huamua kuwa wajasiriamali kwa asilimia 100%.Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu
Je, ni kitu gani kiwafanya watatu wengi kuingia kwenye ujasiriamali?
Sababu ya kwanza wengi...
Kazi vs Ujasiliamali