Anahitajika kijana wa kazi za shambani. Awe ni kijana mchapakazi na awe wa kiume umri usiozidi miaka 20. Na awe ni mkazi wa mikoa ya Arusha ama Kilimanjaro.
Kama una ndugu yako au mdogo wako ama jirani yako unaweza ukani pm.
Malipo ni makubaliano!!!
Ni hayo tu!!!
Asanteni!!!!!
Kama una ndugu yako au mdogo wako ama jirani yako unaweza ukani pm.
Malipo ni makubaliano!!!
Ni hayo tu!!!
Asanteni!!!!!