Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Matofali ya kisasa interlocking blocks(hydrafoam) kwa anayehitaji

$
0
0
Kwa makandarasi, wafanyakazi na wafanyabiashara wa kada zote na Taasis za serikali na binafsi
Matofali haya ni ya kisasa kwani ya gharama nafuu kwa ujenzi wa nyumba za kisasa
Matofali yana mchanganyiko wa morram na cement
Hayahitaji mota kujenga kwani ni ya kupanga tu
Plasta yake ni nusu nchi ukilinganisha na tofali ya block ambayo ni nchi moja na nusu
Ni imara na yanadumu kwa muda mrefu
Yanavutia na ni mazuri hata kwa kuyatazama mfano wake ni nyumba za kibada NHC dar es salaam
Bei...

Matofali ya kisasa interlocking blocks(hydrafoam) kwa anayehitaji

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles