Mke wangu aliomba nafasi ya kazi iliyokuwa posted kwenye mtandao wa zoomtanzania.com. Ilikuwa inatangazwa na echo-aid (Echo Aid Fund – Humanitarian Assistance). Kwenye zoom walisema wapo based Dar lakini baadae wakaonyesha wapo Mwanza. Walimwandikia mail kwamba wamemshortlist, lakini ni lazima afanya mtihani wa TST ambao anaweza kuupata either www.novran.com au www.frillhr.net....
Naomba kuulia, hii Echo-Aid ni kampuni halali?
Naomba kuulia, hii Echo-Aid ni kampuni halali?