Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live
↧

Ajira TRA za June 2015

Mnamo June 2015, Tanzania Revenue Authority ilitangaza nafasi za ajira. Kazi ambazo zilitangazwa ni pamoja na Research Officer, Senior Research Officer, Principal Reserch Officer pamoja na...

View Article


Vijana tujiajiri, muda wa kuajiriwa umekwisha

Habar za sasa, katika pitapita zangu nmekutana na hii story nkaona niwashirikishe vijana wenzangu, mimi ni consultant wa oriflame, kampuni inayodeal na bidhaa za urembo, na mara nyingi...

View Article


Usahili Open University

Jamani kwa wale waliobahatika kufanya usaili open university mwezi wa Pili, Je kuna walioitwa kazini?

View Article

Hivi lower second with honours ya udsm ni ndogo sana au haina soko hapa...

nimemaliza udsm bachelor of arts in economics na gpa ya 3.0 ambayo ni lower second,kuna sehemu nyingine naitwa interview na zingine siitwi,hivi tatizo la kutoitwa hizo sehemu zingine inaweza kuwa ni...

View Article

Looking for a job?

Tired of looking for a job? We are here for you. At Unemployment Solutions we care about what you need and how you need it. Get in touch with us via: unemploymentsolutionsconsulting@yahooo.com

View Article


Zimamoto wamezima usaili kisa hiki hapa

zimamoto waliokuwa wafanyiwe usahili tar20 april 2016 ghafla bin vuu mara wakasitisha hiki ndio chanzo kutoka kwa taarifa zilizofuja kikosini makao makuu iko hv majina walioomba nafasi za konstebo...

View Article

Nafasi kazi za DART

DART Wametangaza nafasi za kazi. ================================ NAFASI ZA KAZI DART 1. Depot Manager(1 Post) Qualifications -Degree in Civill Engineering from recognized University. -PGD in contract...

View Article

Ajira Mpya Kutangazwa na Meya wa Kinondoni Kupitia CHADEMA/UKAWA

Ajira mpya zitatangazwa soon, safari hii ni kwa wanamuziki wote,ambao wamekosa fulsa ya kurekodi,"watapata free recordings" Kinondoni Municipal, na hii ni moja ya studio, MAZUU RECORDS (mabibo Loyola)...

View Article


Kwa kigezo cha umri huu naweza kujiunga JKT?

Elimu yangu ,bachelor degree. Umri miaka 31. Wakuu uwezekano upo?

View Article


Nafasi ya kazi

Habari zenu wadau natafuta dada kazi ktk stationery ipo ilala mshahara maelewano kwa mawasiliano zaidi tuwaliane kwenye nomb 0769600067

View Article

Nafasi ya kazi kwa mtu mwaminifu sana

Natafuta mtu muaminifu sana nimpe kazi maalum. Sifa, awe anaishi dar, Awe mwanaumeAwe mchapakazi, Awe mbunifu, Asiwe na vijitabia vya ulaghailaghai, Awe mbunifu na asiwe bishoo. La muhumu kupita yote:...

View Article

Kwa waombaji Kazi suala la experience mnafanyaje?

Kwa wale fresh graduates huwa kuomba Kazi unafanyaje,unakuta vigezo vyote vipo isipokuwa ya experience,wengine wanakaa kitaa hata mwaka mzima,je wenzangu mnaoapply huwa ukiona hicho kigezo mnatuma...

View Article

Nafasi ya kazi lodge

KIJANA WA KAZI ANATAFUTWA ASIYE ZIDI UMRI WA MIAKA 25, NA AWE NA ELIMU ISIYO PUNGUA FORM FOUR Contacts: 0719317115

View Article


Commission Sales Agent needed

FMS AFRICA LTD,a company specialized in providing vehicle tracking and fuel monitoring is looking for a person who is ready to work as a sales commission agent (paid per sale made).....Anyone...

View Article

3 Job vacancies at Teofilo Kisanji University

Teofilo Kisanji University is looking for best candidates to fill 3 vacant post which are: 1. Vice Chancellor of the University 2. Deputy Vice Chancellor Academic affairs of the University 3. Deputy...

View Article


Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:...

View Article

Nimekata tamaa na ajira

Najitahidi sana kutuma maombi ya kazi kila uchao lakini mpaka sasa sijabahatika kupata ajira ya kunisaidia kuendesha maisha yangu. Haipiti siku bila kupitia website ya utumishi kuona kama kuna ajira...

View Article


Kuwa makini na EXPAT LINKERS CO. LTD ni utapeli

Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has fianlly made a final deciosion of calling you for a...

View Article

Kuitwa kwenye Usaili NHIF

Wadau kwa wale walioomba nafasi mbalimbali NHIF mwaka jana November hatimae hilo lundo linaloitwa orodha fupi limetangazwa. Tembelea tovuti ya NHIF ujipatie kuona. Natanguliza shukrani! LINK: CALL FOR...

View Article

Usaili wa I&M Bank Kariakoo branch

Wadau habari zenu, kuna usaili ulifanyika wa kutafuta Direct sales agents wa I & M Bank Kariakoo branch, ningependa kufahamu kama kuna mwenye ‘updates' zozote...

View Article
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>