Certified Information Systems Auditor (CISA) Review Class
Ndugu wana Jamii Forums.. True Ink Associates would like to Announce that the Sixth (6) CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled to commence on Monday 14/03/2016, Dar Es...
View ArticleNFT ni jipu la kutizamwa kwa sasa
Recruiting Agency ijulikanayo kwa jina la NFT CONSULT ambayo inamkataba na tigo mpaka leo hii tar11 haijalipa mishahara ya wafanyakazi wanaofanyakazi tigo walioko chini ya NFT, kwa mujibu wa mfanyakazi...
View ArticleMaswali ya written interview kwa nafasi ya bank teller NMB bank
Mambo wakuu, Nimeitwa NMB Nothern Zone hapa Arusha,nilikua naomba mnisaidie kunipa format ya maswali wanayouliza kwenye written zao. Shukrani
View ArticleMsaada: Wenye uzoefu wa Skype Interview
Ndugu zangu nimetumiwa ujumbe wa 30 minutes skype interview siku ya jumatano saa 10 jioni baada ya kufanya 'job application' nchini canada.sina uzoefu na matumizi ya skype na vilevile computer...
View ArticleKurudishwa kwenye Government Payroll
Ndugu wanabodi, niliajiriwa mwaka 2010 Halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa. Wakuu naomba msaada wa...
View ArticleUhai Tanzania.
Awa jaamaa ciwaelewi. Lengo ni kuchangisha ama kutoa Ajira. Hawaishi kusema uje kwenye séminaire na viingilio. Amaja jaza form fulani ambayo pia inagharama. Mnao ijua vzuri hawa jamaa nikweli ama...
View ArticleMkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, anawatangazia mafunzo ya JKT kwa kujitolea...
Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam...
View ArticleWalioitwa kazini MJNUAT
hongera sana wale walioitwa kazini MWL. JULIUS NYERERE UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY................................ kuna wengine mpaka sasa hawajatuma recommendation letter kutoka kwa...
View ArticleNew jobs at TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation)
Please find Jobs at TPDC website www.tpdc-tz.com or download attachment
View ArticleEnergy Innovation Challenge 2016(Competition)
Technological innovations for providing electricity services to rural villages have recently started to change the landscape of off-grid energy across the world, especially in East Africa. Access to...
View ArticleKuhusu TRA Oral interview
Tarehe 15dec mwaka jana kulifanyika Oral interview kurasini kwa nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA,,nilifanya usahili kwa nafasi ya customs,nahitaji kujua kwa anaefahamu kama TRA tayari wameshaita...
View ArticleNatafuta kazi (Arusha)
Hi wakuu,natumai hamjambo. Jaman ndugu zangu nilikuwa naomba niwashirikishe hili,natafuta kazi kama vile supermarket,reception hata duka la nguo. Wasifu wangu; Form four,college (Nina Advance...
View ArticleUtumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview
Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview
View ArticleVijana unganisheni Idea zenu mjiajiri katika sekta binafsi
Imekua sasa ni desturi kwa kila kijana kufikiria kuajiriwa katika serikali au makampuni binafsi. Nadhani ifike mahali wakae chini wachange mawazo na kujiajiri binafsi yaani self employment, kwa mfano...
View ArticleNahitaji dada, mfanyakazi za ndani
Dada wa kazi za ndani yaani house girl anahitajika awe na umri wa miaka kuanzia 18 na asizidi umri wa miaka 20 pia awe na nia kujiendeleza katika taaluma ya ufundi. Naombeni tusaidiane katika hilo kwa...
View ArticleKuhairishwa usaili jeshi la zima moto na uokozi
wakuu kuna habari kuwa ule usaili sajini na konstebo wa zima moto uliopagwa kufanyika tar 20/04/2016 umeahirishwa kwa muda usiojulikana, kwa yeyote anayefahamu atusaidie ukweli wa hizi habari.
View ArticleKuitwa kwenye usaili UDOM
habari zenu wakuu mrejesho kwa walioitwa ktk usaili chuo kikuu cha dodoma
View ArticleKubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa kubadilishana nao...
View Article