Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Hivi lower second with honours ya udsm ni ndogo sana au haina soko hapa tanzania?

$
0
0
nimemaliza udsm bachelor of arts in economics na gpa ya 3.0 ambayo ni lower second,kuna sehemu nyingine naitwa interview na zingine siitwi,hivi tatizo la kutoitwa hizo sehemu zingine inaweza kuwa ni gpa yangu ndogo au ni nini,maana kuna siku nilichungulia transcript ya rafiki yangu mmoja wa saut nikaona ana gpa ya 4.3 lakini nae bado chenga tu tena bora hata mie naitwa itwa kwenye interview hata mara moja moja..sasa najiuliza hizi gpa zetu ni kikwazo ktk ajira au vipi,maana naamini majority...

Hivi lower second with honours ya udsm ni ndogo sana au haina soko hapa tanzania?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>