Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Vijana tujiajiri, muda wa kuajiriwa umekwisha

$
0
0
Habar za sasa, katika pitapita zangu nmekutana na hii story nkaona niwashirikishe vijana wenzangu, mimi ni consultant wa oriflame, kampuni inayodeal na bidhaa za urembo, na mara nyingi ninapowashirikisha watu biashara hii husema hawawez sababu wao wanaelimu, na hii biashara ni ya wasio na elimu, nimekutana na mama mwenye miaka 48,anawatoto nana na wajukuu watatu, anafanya biashara hii pia na anapata hadi 1.2 m kwa mwezi, historia yake alikua ni muuza mkaa, lakin akaona afanye biashara hii...

Vijana tujiajiri, muda wa kuajiriwa umekwisha

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles