Habari njema kwa walimu wa shule za sekondary nchini Tanzania
Habaripoint.com tumetengeneza mfumo unaoitwa Secondary School Academic Information Managemement System(SSAIMS) Unadownload free: Mfumo huu kazi yake kuu ni kuandaa ripoti za matokeo ya wanafunzi. Mfumo...
View ArticleMwenye taarifa ya TRA kuita watu kazini
Wadau mwenye taarifa na TRA kuita watu kazini wanijuze.
View ArticleNataka kuacha kazi niingie jeshini, naomba ushauri
Waungwana nahitaji ushauri mimi muajiriwa wa halmshauri kitaaaluma ni clinical officer.............lakini nina dhamira ya kuingia jeshini jwtz je nikiamua kuacha kazi huku nilipo haitakuja kusumbua...
View ArticleData entry (Sage Pastel Software)
Anatafutwa data entry cum Cashier anayejua vizuri kutumia hii software hasa upande wa inventory management. Ofisi iko maeneo ya Kimara wilaya ya Kinondoni Sifa: Astashahada/ stashahada/shahada ya...
View ArticleNafasi za Kazi National Health Insurance Fund (N.H.I.F)
Vijana ambao mliomba kazi zile zilizotangazwa mwezi wa 10 na Mkafanya Interview mkiwa wengi Pale Dar es Salaam University College of Education (DUCE) Mkiwa wengi sana. Habari za ndani zinasema mchakato...
View ArticleNatafuta mfanyakazi wa Maabara na duka la dawa
Nimeamua kujiajiri na kuajiri wengine kwa kuanzisha maabara inayotoa huduma ya kupima magonjwa mbalimbali kama Malaria, UTI na minyoo. Hivyo natafuta wafanyakazi wa kada mbili. Mmoja kwa ajili ya...
View ArticleKuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?
Habari yenu wakuuu wa jamvi? Naombeni kuuliza ...hivi kuna MTU alishaomba kazi kupita zoom na akaitwa kwenye Interview katika taasisi au kampuni aliyoomba?????maana nishaomba sana ndani ya website hii...
View ArticleMuuza duka la Vipodozi
Natafuta dada kwaajili ya kazi ya kuuza vipodozi,Duka lipo maeneo ya Manzese so nikipata dada anayeishi maeneo ya Magomeni,Usalama,Mwembechai,Kagera,Manzese,Tiptop na Mabibo itakuwa poa coz duka...
View ArticleRais wa vyama vya wafanyakazi apendekeza mifuko ya jamii ipunguzwe
Rais wa vyama vya wafanyakazi apendekeza mifuko ya jamii ipunguzwe katika hotuba aliyomkabidhi rais Magufuli na rais akaahidi kuifanyia kazi mifuko kama PPF,LAPF,NSSF,GEPF PSPF na NHIF. sasa sijui...
View ArticleHivi ajira za mpya za walimu zinatoka lini?
Wadau naomba kufahamishwa ni lini ajira za Walimu zitatoka?
View ArticleNi kweli ajira za walimu hadi mwezi wa saba?
RAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Jumla ya Walimu wapya 40,000 ambao wamehitimu mwaka 2015 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na...
View ArticleMsaada: Sijatuma maombi ya JKT mpaka sasa
wakuu habari za sasa? mimi ni kijana wa shahada ya kwanza, kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu, nilishindwa kutuma maombi ya kujiunga na JKT japo siko nje ya muda. tatizo la kwanza nimekosa...
View ArticleNatafuta kazi
Mambo wapendwa mimi ni graphics designer na natafuta kazi ya Graphics Designer.Adobe Illustrator,Photoshop.Animation ni Adobe after Effect,cinema 4d. So naombeni link ya ombi langu hili.
View ArticleTanzania inahitaji watumishi wafanyakazi wa aina gani?
"kama jamii yenyewe inajikita katika uongo, ubabaishaji, uzembe, ubinafsi, uvivu, umbeya, maneno bila vitendo, kula usichokipanda na ila za kila aina, ni kwa vipi jamii hiyo inaweza kuwa na wafanyakazi...
View ArticleAdvanced Excel & Tally ERP 9 Training in Mwanza
The Computer Skills ( ComSkills) tutaendesha mafunzo ya "ADVANCED EXCEL & Tally ERP 9" Tarehe:27/06 - 01/07/ 2016 Ukumbi: PPF Plaza, 5 floor- Open University Executive Room,Mwanza-City Center...
View ArticleMsaada: EIA EXPERTS na NEMC wametoa majibu?
Kama Kuna mtu aliomba registration ya EIA EXPERTS mwaka huu naomba kuuliza majibu yameshatoka au kama Kuna mtu anafanya Kazi NEMC naomba anisaidie kaniambia km majibu yametoka . Thanks in advance.
View ArticleVipi kuhusu ajira za wasaidizi wa ufugaji nyuki
Vijana toka chuo cha mafunzo ya ufugaji nyuki wanaulizia nafasi za kazi maana tangu wamalize hakuna hata tetesi
View Article