Waungwana nahitaji ushauri mimi muajiriwa wa halmshauri kitaaaluma ni clinical officer.............lakini nina dhamira ya kuingia jeshini jwtz je nikiamua kuacha kazi huku nilipo haitakuja kusumbua siku za usoni kwenye suala la mshahara
Na kama nitafanikiwa kupata nafasi jeshini hapa naondokaje kisheria ili niweze kuwa huru???
Na kama nitafanikiwa kupata nafasi jeshini hapa naondokaje kisheria ili niweze kuwa huru???