Pharmacist anahitajika
Kwa ajili ya kusimamia duka kubwa la dawa; pia anatakiwa fundi dawa (pharm tech) na disdensing staff wengine. Wenye sifa tafadhali wanipm na wawe tayari kufanya kazi Dar au Bagamoyo
View ArticleNahitaji Kijana wa Kupika Chips
Habari zenu wana JF Nahitaji kijana wa kiume wa kukaanga chips na kuchoma nyama. Vigezo: 1. Awe anajua kupika chips vizuri 2. Awe anaweza kuchoma aina mbalimbali za nyama 3. Mchangamfu na mwenye...
View ArticleNafasi za kazi Kibaigwa Flour Supplies
Kibaigwa Flour Supplies ni Kampuni inayokua kwa haraka inayojishughulisha na KILIMO cha kibiashara tangu 2005, inatangaza nafasi 5 za kazi kwa Watanzania wenye sifa waweze kujaza haraka. Nafasi 6: a,...
View ArticleTRA wameanza kuita watu kwenye usaili
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA Updates Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye...
View ArticleAdvanced Excel & Tally ERP 9 Training in Mwanza
The Computer Skills ( ComSkills) tutaendesha mafunzo ya "ADVANCED EXCEL & Tally ERP 9" Tarehe:27/06 - 01/07/ 2016 Ukumbi: PPF Plaza, 5 floor- Open University Executive Room,Mwanza-City Center...
View ArticleUtumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview
Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview Plz mwenye kujua
View ArticleNaomba ushauri wa hii kozi: Basic technician in animal health and production
Hii kozi unaajiriwa kama nani???na unaweza fanya kazi zipi ???vipi kuhusu soko la ajira lipo???
View ArticleFursa- ujasiriamali, Kuprint majina kwenye jezi za soka kisasa
Habari wadau. Najua vijana wengi kuna mwamko wa kijasiriamali, kuna mashabiki wengi wa mpira nchini ambao wanapendelea kuvaa jezi za timu zao za ulaya, mitaani, vyuoni, mikoani etc. binafsi nimejiajiri...
View ArticleHabari
Waungwana nahitaji ushauri mimi muajiriwa wa halmshauri kitaaaluma ni clinical officer.............lakini nina dhamira ya kuingia jeshini jwtz je nikiamua kuacha kazi huku nilipo haitakuja kusumbua...
View ArticleMshahara wa laboratory technician
Habari zenu wadau? Naomba kuuliza mshahara wa laboratory technician mwenye ngazi ya cheti ,mshahara wake unaweza kuwa shilingi ngapi kwa mwezi?
View ArticleTazama hii, ninaamini utanisaidia! Ninakuomba tafadhali
Ninapenda sana kuandika, na ni professionally schooled on it. Mimi ni graduate wa BA English Linguistics. Ningependa kupata kazi kama contributor wa magazine, online source/website au newspaper yoyote...
View ArticleMwongozo wa utumishi wa umma
WanaJF nisaidie sheria za kazi zinasemaje kuhusu mtumishi wa umma anayeenda kusomea kada tofauti na ile aliyoajiriwa nayo? Mf. niliajiliwa kama mwalimu nina miaka 8 kazini na nimejiendeleza kwenye...
View ArticleMashine ya bisi (Popcorn) inahitaji kijana
Habari wana JF. Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza, nina mashine ya bisi ya gesi mpya kabisa na kitololi chake, ambayo naitafutia kijana mwenzangu wa kuiendesha. Sifa: 1. Awe mwaminifu 2. Awe mchangamfu...
View ArticleCertified Information Systems Auditor (CISA) Review Class
Ndugu wana Jamii Forums.. True Ink Associates would like to Announce that the Sixth (6) CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled to commence on Monday 14/03/2016, Dar Es...
View ArticleMwalimu Nyerere University of Agriculture
Kwa mliofanya interview za Mwalimu Nyerere University of Agriculture, tujuzane format ya mitihani yao wadau.
View ArticleKujiajiri na Oriflame
Orliflame ni kampun ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50. Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na watoto,...
View ArticleLooking for microfinace partner
Wakubwa Mimi ni mzoefu katika eneo hili kwa takribani miaka 10, nimefanya ndani ya benk moja kubwa hapa nchini maarufu Kama benk ya walalahoi kwa miaka 8, hivi karibuni nimebuni ka institution kamoja...
View ArticleMsaada kwa aliyewahi kufanya interview Mwalimu Nyerere University
Habari za asubuhi members, Naomba msaada kwa ambaye ameshafanya interview na Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology(MJNUAT) kwa nafasi ya INSTRUCTOR GRADE I kada yoyote, namna maswali...
View Article