Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Ni kweli ajira za walimu hadi mwezi wa saba?

$
0
0
RAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Jumla ya Walimu wapya 40,000 ambao wamehitimu mwaka 2015 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 July 2016. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 19,973 na walimu wa shule za sekondari ni 20,027 (wakiwemo 9,206 wa Stashahada na 10,821 wa shahada)

Orodha rasmi ya...

Ni kweli ajira za walimu hadi mwezi wa saba?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>