Kama Kuna mtu aliomba registration ya EIA EXPERTS mwaka huu naomba kuuliza majibu yameshatoka au kama Kuna mtu anafanya Kazi NEMC naomba anisaidie kaniambia km majibu yametoka .
Thanks in advance.
Thanks in advance.