Habari yenu wakuuu wa jamvi? Naombeni kuuliza ...hivi kuna MTU alishaomba kazi kupita zoom na akaitwa kwenye Interview katika taasisi au kampuni aliyoomba?????maana nishaomba sana ndani ya website hii ila sijawahi kuitwa tofauti na kuomba kwa njia ya post.
↧