DART, FNB,BENK YA KILIMO,MBONA HAWATUITI?
Jaman mradi wa mwendo kasi nasikia una karbia kanza vipi mbona hawajatuita au kuna mtu kaitwa humu?pmoja na kale kbenk ka 1 nation bnk?
View ArticleKijana anatafuta kazi
Heshima kwenu wote. Kijana wa kiume,umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ujuzi wa ufundi umeme wa nyumbani. Anatafuta kazi yeyote halali iwe kwenye duka,soko,bustani,mgahawani nk Ni kijana mwenye kiu...
View ArticleMrejesho: Matokeo ya Usaili kwa kazi niliyotangaza humu
Wakuu nawasalimu. Nilitangaza nafasi ya kazi humu ya usimamizi wa biashara ambapo kigezo cha kwanza nilichokuwa nimetoa ni uaminifu. Nafasi ya kazi kwa mtu mwaminifu sana Matokeo ni kama ifuatavyo: (a)...
View ArticleAnayejua habari za JKT
Wakuu mwenye kujua habari za JKT kujitolea 2015 Atujuze. Mbona sisi tunaofanyiwa mipango mwaka huu wametuchelewasha kuingia kambini? Na wakati wenzetu mafunzo teali wameshaanza.. unakuta mtu...
View ArticleHivi hili tangazo la kazi bodi ya pamba linamaana gani?
Katika matembezi yangu ya hapa na pale leo nikaona siyo mbaya nidhurule kidogo kwenye web ya bodi ya pamba,nmedhurula weee mwishon kabisa nikaingia kwenye uchochoro wa humo TCB unaitwa vacancy,kuchek...
View ArticleDART, FNB, Benki ya Kilimo, mbona hawatuiti?
Jaman mradi wa mwendo kasi nasikia una karbia kanza vipi mbona hawajatuita au kuna mtu kaitwa humu?pmoja na kale kbenk ka 1 nation bnk?
View ArticleMrejesho: Bado sijapata kazi
habarini wakuu! Nilitoa tangazo hapa kuwa natafuta kazi yoyote ile iliyo halali elimu yangu Bachelor of science in food science and technology. Lakini mpaka sasa sijapata kazi yoyote ya kuuniingizia...
View ArticleKuna ajira gani alizosema rais daraja la Kigamboni?
Nani anayejua kuhusu ajira kwenye daraja la kigamboni? tulimsikia muheshimiwa raisi anasema wafanyakazi zaidi ya 300 watakuwepo kwenye daraja hili.. wahusika nasikia TANRODS na NSSSF kwa anayejua...
View ArticleMtalamu wa kuchora ramani za nyumba
Tunachora michoro yote ya nyumba na umeme kwa bei nzuri kabisa. Mwenye uhitaj an PM.
View ArticleMASEKRETALI na MARECEPTIONIST maofisini ni vigingi kwa waomba kazi.
Habari zenu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, ila sio kwa wote ila ni asilimia kadhaa, hawa ndugu zetu yaani masekretari na mareceptionist WANAWAKE wengi wana roho ya korosho kwa wale wanaopeleka...
View ArticleMdada wa kuuza duka la vipodozi anahitajika
Natafuta dada anayejitambua kuuza vipodozi kinondoni mkwajuni, awe anaishi karibu kiasi anaweza kutembea tu kwenda dukani, mtu wa mbali hatakiwi. Pia awe anajua kusoma na kuandika, awe tayari kufanya...
View ArticleKazi yenye kigezo cha Diploma mwenye degree au masters anaweza kuomba?
Huwa najiuliza hili swala, leo naomba msaada wenu wakuu, hivi ikitolewa kazi na kigezo kikawa ni diploma je mwenye degree au masters anaweza kuiomba? Yaani kigezo cha elimu wewe muombaji ukawa...
View ArticleHouse keeper/cleaner & organizer Available- Home, hotel or office.
Hi, JF I am Tanzanian male. I am 21 years old. I'm living in dar es salaam. I'm currently looking for a job as a housekeeper/cleaner.(housekeeping/cleaning work). I can clean and organize house/...
View ArticleNafasi za kazi SADC
VACANCY ANNOUNCEMENT AT SADC - TANZANIANS , APRIL 2016 Background The Southern African Development Community (SADC) currently has fifteen Member States with a population of approximately 250 million...
View ArticleKIWANGO CHA MSHAHARA
Habari wakuu, naomba msaada kwa yeyote anayejua salary scale za KIWOHEDE anijuze wameniita kwa usahili tar 28 mwezi huu.
View ArticleSMZ acheni ubaguzi kwenye nafasi za kazi
Sabakher Wadau; Leo Katika Pita Pita Zangu Nikapita Zoom Kwenye Nafasi Za Kazi! Nafasi Kibao Zipo Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar! Sasa Kwenye Requirements; 1.AWE RAIA WA ZANZIBAR. Duh! Jaman Kumbe...
View ArticleWorkers Compensation Fund(WCF)
Nitangulize salamu Habari wana JF, nimepata nafasi ya kuitwa kwenye written interview ya WCF pale DUCE,namshukuru Mungu kwa hilo, ningependa kutoa maoni yangu kwa hawa wawezeshaji a.k.a UTUMISHI...
View ArticleYaliyojiri Usaili wa JKT Iringa Mjini na Vijijini.
Wasailiwa walipata neno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa ndugu Richard Kasesela. Akisema Usije ukatoa hata senti tano yako kwa nafasi hizi za JKT. Sergent mmoja ambaye hakujitambulisha jina lake...
View ArticleCISA Review Class Starts on 02/05/2016
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start on 02/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5 weeks,...
View ArticleMsaada wa kiwango cha mshahara
Habari wakuu, naomba msaada kwa yeyote anayejua salary scale za KIWOHEDE anijuze wameniita kwa usahili tar 28 mwezi huu.
View Article