Matokeo ya kupangiwa kazi utumishi
Matokeo ya kupangiwa kazi utumishi,mbona kada ya COMPUTER OPERATOR II awajapangiwa ina maana wamefeli wote au 17 march adi 22 march
View ArticleNafasi za kazi TANROADS
Axle Load Supervisor 2. Weighbridge Operators 3. Weighbridge Collectors 4. Supplies Assistant 5. Records Management Assistants 6. Driver 7. Office Attendants MODE OF APPLICATION All Interested...
View ArticleNimeitwa kwenye usahili, Naomba ushauri
Habari ndugu wanajamv! Naomba msaada toka kwenu. Nimeitwa kwenye usahili na shirika fulani kanda ya kaskazini. Position ni Gender Officer! Kwa waliowahi fanya usahili ya position ya Gender naomba...
View ArticleInterview at busara center behavioral economics
Habari wanajamvi, nimeitwa interview ya Program Officer na awa jamaa wanaitwa Busara Center Behavioral Economics, yoyote mwenye kuwajua anasaidie details zao plz. ASANTE
View ArticleInterview at Busara Center Behavioral Economics
Habari wanajamvi, nimeitwa interview ya Program Officer na hawa jamaa wanaitwa Busara Center Behavioral Economics, yeyote mwenye kuwajua anasaidie details zao plz. Asante.
View ArticleInterview at Busara Center Behavioral Economics
Habari wanajamvi, nimeitwa interview ya Program Officer(temporary job) na compuni inaitwa Busara Center Behavioral Economics, yoyote mwenye kuwajua plz anasaidie details zao (mfn. malipo nk). ASANTE
View ArticleInterview at Busara Center Behavioral Economics
Habari wanajamvi, nimeitwa interview ya Program Officer(temporary job) na compuni inaitwa Busara Center Behavioral Economics, yoyote mwenye kuwajua plz anasaidie details zao (mfn. malipo nk). ASANTE
View ArticleMafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016
Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam...
View ArticleMOVIES & SERIES(1080p)
Habari! Je unahitaji quality MOVIES na SERIES mpya na hot. Nakupatia kwa hard disk(HDD)500GB kwa Tshs.180,000 na 1TB kwa Tshs.250,000. Vile vile kwa USB flash 32GB kwa Tshs. 40,000. Niko dar na...
View Articlemsaada plz
nitanroad ya kagera wameanza ita watu kwenye usail asa minilitaka kujua nimaswali gani ya cashier wanapendaga kuuliza both writen na oral
View ArticleCISA Review Class Starts on 02/05/2016
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start on 02/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5 weeks,...
View Articlemsaada nimeitwa kwenye interview
nilikuwa nauliza maswali gani ya interview yanaulizwa kwenye post ya kacashier
View ArticleUsaili wa I&M Bank Kariakoo branch
Wadau habari zenu, kuna usaili ulifanyika wa kutafuta Direct sales agents wa I & M Bank Kariakoo branch, ningependa kufahamu kama kuna mwenye ‘updates' zozote...
View Article--- Article Removed ---
*** *** *** RSSing Note: Article removed by member request. *** ***
View ArticleRafiki yangu amesoma kilimo anatafuta kazi
kwa yeyote ambaye anaweza kumsaidia amehitimu certificate ya kilimo namba yake ni 0752510642, nataguliza shuranni zangu.
View ArticleMrejesho kazi
habarini wakuu! Nilitoa tangazo hapa kuwa natafuta kazi yoyote ile iliyo halali elimu yangu Bachelor of science in food science and technology. Lakini mpaka sasa sijapata kazi yoyote ya kuuniingizia...
View Articlekuhusu kushare habari na kupata malipo mtandaoni
ni kampuni gani au blog gani ambayo inalipa kwa mpesa, tigopesa au airtel money endapo utashare habari zao kwenye akaubti yako facebook au kwenye blog yako?. nimeuliza maana nasikia makampuni mengi...
View ArticleZimamoto wamezima usaili kisa hiki hapa
zimamoto waliokuwa wafanyiwe usahili tar20 april 2016 ghafla bin vuu mara wakasitisha hiki ndio chanzo kutoka kwa taarifa zilizofuja kikosini makao makuu iko hv majina walioomba nafasi za konstebo...
View ArticleNahitaji msaada wa haraka toka kwenu wadau
Naamin mmeamka salama kabisa. Naombeni kufahamu zaid kuhusu QUALITY ASSURANCE OFFICER katika viwanda vya chakula hapa nchini. Pia katika ngazi ya degree but no experience(namaanisha pure graduate from...
View ArticleNataka kuacha kazi, ushauri tafadhali!
Nilibahatika kuajiriwa katika moja ya kampuni ya wahindi miaka mitatu na nusu iliyopita baada ya kukaa nyumbani bila kazi kwa mwaka mmoja na nusu tangu kuhitimu chuo kikuu. Nilianza na mshahara wa laki...
View Article