Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Kijana anatafuta kazi

$
0
0
Heshima kwenu wote.

Kijana wa kiume,umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ujuzi wa ufundi umeme wa nyumbani.

Anatafuta kazi yeyote halali iwe kwenye duka,soko,bustani,mgahawani nk
Ni kijana mwenye kiu ya kujifunza na mwepesi kuelewa.

Kwa sasa anapatikana Boma Ng'ombe (Hai)

Ukiwa na hiyo kazi,tafadhali mpigie kwenye simu 0766600317

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>