Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Mdada wa kuuza duka la vipodozi anahitajika

$
0
0
Natafuta dada anayejitambua kuuza vipodozi kinondoni mkwajuni, awe anaishi karibu kiasi anaweza kutembea tu kwenda dukani, mtu wa mbali hatakiwi.

Pia awe anajua kusoma na kuandika, awe tayari kufanya kazi saa mbili aaubuhi mpaka saa nne usiku kila siku.

Mwisho awe mchangamfu na kauli nzuri kwa wateja.

Mshahara maelewano. Naomba anipm.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles