Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ila sio kwa wote ila ni asilimia kadhaa, hawa ndugu zetu yaani masekretari na mareceptionist WANAWAKE wengi wana roho ya korosho kwa wale wanaopeleka barua za maombi ya kazi katika makampuni na maofisi.
Hawa wadada maana sio wamama, hupokea barua za hawa vijana wanaoenda omba kazi na kutoa maneno kuwa zimefika. Wengine kwa jinsi anavyokuongelesha tu utajua barua yako ndo imefika mwisho. Wafanyacho ni hawazipeleki kwa wahusika wenye kuzipitia...
MASEKRETALI na MARECEPTIONIST maofisini ni vigingi kwa waomba kazi.