Recruiting Agency ijulikanayo kwa jina la NFT CONSULT ambayo inamkataba na tigo mpaka leo hii tar11 haijalipa mishahara ya wafanyakazi wanaofanyakazi tigo walioko chini ya NFT, kwa mujibu wa mfanyakazi mmoja() hii ni tabia ya NFT kuchelewesha mishahara...
My take: Waziri wa sekta husika ingilia kati hili suala hasa la hizi Recruiting Agency watu wananyanyasika kwa salary kiduchu pia inachelewa.. wanaishije wengine wanafamilia, mikopo, magonjwa na matatizo lukuki.