hongera sana wale walioitwa kazini MWL. JULIUS NYERERE UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY................................
kuna wengine mpaka sasa hawajatuma recommendation letter kutoka kwa referees ingia website ya chuo kujua kama hukutuma ,then ufanye mchakato wa kutuma haraka iwezekanavyo(www.mjnuat.ac.tz)