Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live
↧

Natafuta kazi

Mimi ni binti wa miaka kadhaa nmehitimu chuo mwaka juzi nina masters ya account nmefanya kazi NMB temporary kwa mda wa miezi sita tukawa tumemaliza now sina kazi naombeni msaada my no 0758844240

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam...

View Article


Bank ya kilimo wameita watu kwenye usaili?

Wakuu, Naomba kuuliza kama bank ya kilimo washaita watu katika usaili ajira zilizotangazwa mwezi wa tatu naona hadi leo kimya. Je kuna mwenye taarifa au ashaitwa nawasilisha?

View Article

Vipi kuhusu utaratibu kwa mwajiriwa mpya wa serikali jamani?

Naishi Dar nimepangiwa Tanga ikiwa ni mara ya kwanza naajiriwa serikalini....nisaidieni jamani...per diem inatoka ya cku ngap? Nauli watanilipa? Na mizigo?

View Article

Natafuta Pharmacist wa kusimamia pharmacy Kigamboni

Natafuta pharmacyst mwenye degree wa kusimamia pharmacy iliopo Kigamboni mshahara kuanzia 1000000/ kwa mwezi asanteni

View Article


Kwa mwenye kuhitaji mdada wa kazi

kuna mdada wa kazi mtu wa karibu yangu anahitaji kibarua ni mwadilifu,mchapakazi na anampenda mungu.yuko maeneo ya ubungo.mwenye huitaji ani pm or anicheki 0654907899 \

View Article

Kuitwa kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto

Habari za asubuhi ,Majina ya vijana kutoka uraiani wanaoitwa kwenye USAILI katika JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI kwa ajili ya nafasi za konstebo na sajini zimetoka. GAZETI LA UHURU LA TAREHE 8/4/2016....

View Article

Trainee Dealers- CASINO

Nani anafahamu hii position inadeal na nini hasa? naona LAS VEGAS CASINO wametangaza nafasi, kwenye kujua shughuli zao na mshahara atujuze.

View Article


Hivi NIDA wataajiri wafanyakazi wapya baada ya wale wa mwanzo kumaliza mkataba?

Jamani kwa anayejua hili au kusikia popote kuhusu NIDA kama wataajiri wafanyakazi wapya baada ya wale wa mwanzo kumaliza mkataba wao,niliona kwenye tv wakikabdhiwa zile mashine za vitambulisho vya...

View Article


Mwenye taarifa kuhusu zile nafasi za kazi CBE

Wadau nilikuwa naombwa kujuza zile nafasi tulizoomba CBE maana deadline ilikuwa tarehe 11 mwezi wa 4, Je nikwamba waisha ita watu au bado mchakato unaendelea mimi niliomba nafasi ya marketing..Naomba...

View Article

Nafasi za kazi/uwakala kote Tanzania

View attachment 351362 ​Heri Africa Tours Ltd ni kampuni ya utalii yenye makao yake mjini Arusha. Katika jitihada zetu za kukuza utalii wa ndani, tunatafuta mawakala(sales people) kwa ajili ya kuuza...

View Article

Serikali ingetoa ajira kwa walimu wote ambao hawakuripoti vituoni

Serikali naiomba itoe msamaha kwa walimu wote ambao hawakuripoti kwa matatizo mbalibali wakaripoti kwenye vituo vyao kuanzia mwaka 2007 maana walimu wapo mitaani hawajui wafanye nini. Kwenye payroll...

View Article

Kazi ya Jounalist Vyro Newz

Tunatafuta mtu anaeweza kuandika stori kama muandishi wa habari. Lazima uweunasoma chuo kikuu Dar, degree ya journalism. Tupigie simu, tuma email au andika namba yako kwenye comments or direct message....

View Article


Ajira sekta ya afya

Siku chache zilizopita kupitia wizara ya afya kuna shirika lilitangaza ajira za dharura za Aco na nurse nazo muda huohuo zikasitishwa,je nilini serikali itatoa ajira hizo pamoja na kada...

View Article

Natafuta (temporally work)

Mimi ni kijana wa miaka 20 nipo Ngudu-Mwanza, nimhitimu wa kidato cha sita (CBG) 2016, natafuta kazi ya muda (temporally work) ya kufanya kwa muda wa miezi mitatu yaani toka Juni-Septemba mwaka huu...

View Article


Kijana Mdogo anayejua Graphic Designing na hana kazi

Awe na sifa zifuatazo - Ajue Vizuri matumizi ya computer (microsoft, adobe photoshop/illustrator & general computer application ni LAZIMA) Vingine atafundishwa - Awe anaishi Dar - Ajue kutumia...

View Article

Kwa walioapply post za Tutorial assistants UDSM

Kama kuna update yoyote ya kuitwa kwenye interview kwenye zile vacancies za last last week maana walisema kwenye tangazo for immediate placement. Naomba tupeane update

View Article


Kuitwa kwenye usaili -TBS

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa tarehe 23.12.2015 kuwa usaili wa kuandika (Aptitude test) utafanyika tarehe 06.06.2016 hadi...

View Article

Nafasi ya Kazi: Assistant Auditor

Financial Experts is the Auditing Firm Located in Temeke Dar es Salaam Seeking Assistant Auditor to join Auditing team. Job description: Plans financial audits by understanding organization objectives,...

View Article

Benki hii, ina nini? mbona yenyewe tu?

habari za mchana wadau, leo majira ya saa tatu nikiwa mtaa wa nanenane, karibu na veta, nikidubiri kufanya usaili pale Mobisoli limited, katika mijadra ya hapa na pale, huwezi amini benki ya posta...

View Article
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>