habari za mchana wadau,
leo majira ya saa tatu nikiwa mtaa wa nanenane, karibu na veta, nikidubiri kufanya usaili pale Mobisoli limited, katika mijadra ya hapa na pale, huwezi amini benki ya posta imelalamikiwa na watu si chini ya 30, waliokuwepo wote kwa kuomba kazi na kuroitwa kwenye usaili.
na wote walio kuwepo pale kwa haraka haraka, wanavigezo na elimu za kutosha sawa au pengine kuwazidi waliopo kwenye benk hiyo
mimi ninauliza kwa nini benki hii tu? hvi manager mwajiri hasomagi...
Benki hii, ina nini? mbona yenyewe tu?