Serikali naiomba itoe msamaha kwa walimu wote ambao hawakuripoti kwa matatizo mbalibali wakaripoti kwenye vituo vyao kuanzia mwaka 2007 maana walimu wapo mitaani hawajui wafanye nini.
Kwenye payroll wamo kisa hawakutoa taarifa chondechonde toeni ruhusa kama mlivyotoa la walimu wa sayansi kuajiliwa mda wowote iwe ivyo kwa walimu wasioripoti