Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Natafuta (temporally work)

$
0
0
Mimi ni kijana wa miaka 20 nipo Ngudu-Mwanza, nimhitimu wa kidato cha sita (CBG) 2016, natafuta kazi ya muda (temporally work) ya kufanya kwa muda wa miezi mitatu yaani toka Juni-Septemba mwaka huu nikiwa nasubiri matokeo.

Kutokana na uelewa pamoja na uzoefu naweza kufundisha somo la Biologia kuanzia form one hadi form six, pia naweza kuuza duka, pamoja na kazi zingine halali na zenye malipo halali nje au ndani ya taaluma yangu.

Ukinihitaji mawasiliano ni kupitia email...

Natafuta (temporally work)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>