Heri Africa Tours Ltd ni kampuni ya utalii yenye makao yake mjini Arusha. Katika jitihada zetu za kukuza utalii wa ndani, tunatafuta mawakala(sales people) kwa ajili ya kuuza safari za utalii wa ndani kwenye mbuga za wanyama kwa makundi mbalimbali wakiwemo maharusi (honeymoon/fungate), familia,wanafunzi wa shule na vyuo, wafanyakazi wa taasisi mbalimbali n.k.
Unatarajiwa kuwa na umri wa miaka 18 na kuendelea na umehitimu walao kidato cha nne,...
Nafasi za kazi/uwakala kote Tanzania
Unatarajiwa kuwa na umri wa miaka 18 na kuendelea na umehitimu walao kidato cha nne,...
Nafasi za kazi/uwakala kote Tanzania