Housemaid - nafasi za Kazi Dar es Salaam
Housemaid wanted, salary 90,000 pm + transport Requirements: age 18-25, female Location: Dar es Salaam Start: immediate Call 0682 010 010
View ArticleWaalimu Tukutane Hapa
Lengo la UZI huu ni kuwa wale wote wenye Taaluma ya Elimu na Walimu waliowai kufundisha,na wale waliowai kufundisha lakini awajasoma Elimu(Ualimu)kuanzia Cheti mpaka Profesa,Upe mpaka Klashi Lengo la...
View ArticleFundi rangi na tiles majumbani
Kwa yeyote anayehitaji fundi rangi au fundi tiles anitafute hapa,najiamini katika kazi zangu na hutajuta kuniita!
View ArticleKubadilishana vituo vya kazi kada AFISA MIFUGO
Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Mimi nipo Tarime natafuta mtu ambaye yupo Mikoa ya Njombe,Iringa,Mbeya na Ruvuma. Kwa mawasiliano tumia namba 0762940676
View ArticleMshahara wa laboratory technician
Habari zenu wadau? Naomba kuuliza mshahara wa laboratory technician mwenye ngazi ya cheti ,mshahara wake unaweza kuwa shilingi ngapi kwa mwezi?
View ArticleHuu mkataba wa kazi niusaini au niuache?
Heshima yenu wakuu. Elimu yangu ni diploma ya ualimu, Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa, Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo...
View ArticleAppointment to the Chairman, Vice Chairman and Board members of the TCRA
​The Chairman of the Nomination Committee, established under section 8(1) (a) of the TCRA Act. No. 12 of 2003, invites Tanzanians with relevant qualifications as spelt out herein to apply for...
View ArticleHawa Tipper ni jipu
Hawa Tipper ni wasaani sana Wizara ya kazi iwachunguze walituita kwenye interview halafu baada ya cku moja tukapigiwa cmu interview imeahirishwa tutatangaziwa baadae baada ya week wakanipigia cmu eti...
View ArticleKazi vs Ujasiliamali
Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu ​Kumekuwepo na wimbi la watu wengi sana kufanya uamuzi wa kuingia kwenye ujasiriamali…kuachana na ajira...
View ArticleEnglish teacher needed
We are looking for someone who has teaching experience and who can speak good English Qualifications Certificate or diploma in teaching Job location Muscat oman contact information...
View ArticlePata ajira bila kufanya Interview
Habari wana jamii forum,ile kampuni bora kwa uchimbaji wa visima (Tawa Water Proffesional) inatangaza nafasi za kazi kwa wale wataopenda kufanya kazi na sisi. Kikubwa utaitajika kutafuta wateja...
View ArticleEmployment opportunity for Civil engineer and quantity surveyor
Dear members our company is looking for 2 Civil engineers and Quantity surveyor Civil Engineer (i) Looking for Graduate civil engineer with 2-5 yrs working experience on road works an engineer with...
View ArticleMshahara wa mhasibu Compassions ni Tshs ngapi?
Kwa anayejua mshahara wa mhasibu kiwango cha degree ni shilingi ngapi katka NGO inayoitwa Compassion hapa Tanzania
View ArticleGRAPHICS AND VISUAL EFFECTS ,music producer, IT, nk(Anatafuta kazi)
Habarini wadau ,nina mdogo wangu ambaye anachet cha form 4,ana C mbili na D flat. Alipitia shot course ya HIV/AIDs and canceling ,Wakati huo akiwa ni ni mpiga vyombo mzuri kanisani akajiingiza kwenye...
View ArticleFursa- ujasiriamali, Kuprint majina kwenye jezi za soka kisasa
Habari wadau. Najua vijana wengi kuna mwamko wa kijasiriamali, kuna mashabiki wengi wa mpira nchini ambao wanapendelea kuvaa jezi za timu zao za ulaya, mitaani, vyuoni, mikoani etc. binafsi nimejiajiri...
View ArticleUshauri: Ahofia kupoteza ajira yake mpya
Kuna dada mmoja ambaye ameolewa na ana watoto wawili tayari, ameitwa kazini kwenye moja ya taasisi za fedha.Hofu yake ni kwamba anaenda kujaza mkataba wakati tayari ana ujauzito wa mwezi mmoja. Je...
View ArticleVijana unganisheni Idea zenu mjiajiri katika sekta binafsi
Imekua sasa ni desturi kwa kila kijana kufikiria kuajiriwa katika serikali au makampuni binafsi. Nadhani ifike mahali wakae chini wachange mawazo na kujiajiri binafsi yaani self employment, kwa mfano...
View ArticleTRA wameanza kuita watu kwenye usaili
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA Updates Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye...
View ArticleMshahara wa Civil Technician Grade 2 (Fundi Sanifu Ujenzi) serikalini
HABARI WANA JF! naomba kujuzwa kuhusu mshahara wa kada tajwa hapo juu kwan kwenye job description nyingi naona wameandika TGS. C na nikiangalia mtandaon naona wameweka range 410,000/= to 510,000/=....
View ArticleElecrician natafuta kazi
habar wana JF? Kama kuna kampuni lolote linalo jihusisha na maswala ya umeme hapa Tanzania tafadhali naomba connection. Nisije nikaoza na ka certificate kangu pamoja na training na skills nilizo nazo
View Article