Lengo la UZI huu ni kuwa wale wote wenye Taaluma ya Elimu na Walimu waliowai kufundisha,na wale waliowai kufundisha lakini awajasoma Elimu(Ualimu)kuanzia Cheti mpaka Profesa,Upe mpaka Klashi Lengo la UZI walimu kujipa Moyo na kuwapa Moyo vijana wetu juu ya KAZI ya Ualimu,Vijana wetu wengi wanakata Tamaa juu hii KAZI kutokana Changamoto zilizopo kuunzia Malipo mpaka Mazingira ya Kazi huko vijijini,sasa tukiacha Hali hii Watanzania wenzetu wanaoishi vijijini Watakosa Elimu,sasa Walimu lazima...
Waalimu Tukutane Hapa
Waalimu Tukutane Hapa