Mrejesho kuhusu kuajiriwa Benki ya Posta
Habari zenu wanajamvi? Natumai, mu wazima na mmeianza wekend vyema, niende moja kwa moja kwenye mada, baada ya kutoa raramiko langu, na kuungw mkono, na watu wengi liliro husu mfumo mbovu na mbaya wa...
View ArticleTaarifa kutoka JKT kuhusu usaili wa vijana wenye taaluma ya Uandishi wa Habari
View attachment 344143
View ArticleResearcher anapatikana
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mtu wa kufanya research kwa lugha ya kiingereza au kiswahili sehemu yoyote ile tuwasiliane
View ArticleHR specialist : Availability, shortage and distribution of workforce
POSITION DESCRIPTION: The hired Human Resource specialist will be required to take stock on availability, shortage and distribution bottlenecks of workforce in the Agricultural sector. The exercise aim...
View ArticleAnayejua habari za JKT
Wakuu mwenye kujua habari za JKT kujitolea 2015 Atujuze. Mbona sisi tunaofanyiwa mipango mwaka huu wametuchelewasha kuingia kambini? Na wakati wenzetu mafunzo teali wameshaanza.. unakuta mtu...
View Articlewale mafundi bingwa wa kujenga tiles, marble, tarazo, mosaic na paving blocks...
Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, marble, tarazo, mosaic na paving blocks kwa mitindo mbali mbali na ya kisasa zaidi wasiliana nasi kwa no zifuatazo: 0654-121218 na 0626-697824 na whatsapp kwa picha...
View ArticleNHIF wanaita lini?
Habari zenu wote! Mi nauliza vipi hawa NHIF majibu wanatoa lini Yale tulifanya pale DUCE tar 11 mwezi wa tatu, mwenye taarifa zaidi atujuze.
View ArticleNafasi ya kazi
Nahitaji msichana wa kufanya kazi kwenye kiwanda kidogo cha chakula.Awe na sifa zifuatavyo. 1.Aliyemaliza kidato cha nne kati ya 2010 hadi 2015 na anajua kujieleza vizuri kwa kiswahili na kiingereza....
View ArticleMpaka sasa sijapata kazi, mimi ni Food technologist
Habari zenu wakuu! Nilitoaga tangazo hapa, kuwa mimi nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini...
View ArticleAdvanced Excel & Tally ERP 9 Training in Mwanza
The Computer Skills ( ComSkills) tutaendesha mafunzo ya "ADVANCED EXCEL & Tally ERP 9" Tarehe:27/06 - 01/07/ 2016 Ukumbi: PPF Plaza, 5 floor- Open University Executive Room,Mwanza-City Center...
View ArticleDoh! Hawa matapeli hadi wamekuwa kero sasa
Hello, am Mr. KAUGA from RUMION SUPPLIES LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia cv za kuinterview for CUSTOMER CARE(EXECUTIVE) post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary...
View ArticleKazi vs Ujasiliamali
Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu Kwanini fursa ya kufanya ujasiriamali ni muhimu Kumekuwepo na wimbi la watu wengi sana kufanya uamuzi wa kuingia kwenye ujasiriamali…kuachana na ajira...
View ArticleNaomba kufahamu viwango vya mishahara Postal Bank
Naomba kujua viwango vya mishahara tanzania postal bank,ususani kwenye cal centre controlor
View ArticleMshahara wa laboratory technician
Habari zenu wadau? Naomba kuuliza mshahara wa laboratory technician mwenye ngazi ya cheti ,mshahara wake unaweza kuwa shilingi ngapi kwa mwezi?
View ArticleKujiajiri ndo njia sahihi nionayo ya kutimiza ndoto zetu
Labda sikuzote tunapenda kuongea kwa kuwatolea mfano wenzetu na kuacha nafsi zetu. Nasema hivi njia pekee ya kutimiza ndoto zako ni kujiajiri mwenyewe, ninaposema kujiajiri simaanishi uwenakitu kimoja....
View ArticleCPC Score
Habari zenu wakuu, Kuna sehemu nili apply nafasi ya kazi, nimetumiwa email na wamesema niwatumie hiyo psychometric CPC score, Ni nini hiyo kitu wakuu? Ni kipimo cha hospital au? Shukran
View ArticleUsaili wa JKT visiwani Zanzibar umefikia wapi ??
Juzi tuu JKT walitangaza nafasi za kujiunga na JKT kwa mwaka 2016/2017 kwa kujitolea na kutaja sifa za mtu ambae anaweza kujiunga na jeshi ilo kwa fununu nilizonazo bara kuna baadhi ya wilaya tayari....
View ArticleKazi tume ya ushindani (FCC)
WAWEZA KUZIPATA HAPA PIA http://www.competition.or.tz/fcc_files/public/re_advert_for_counterfeits_director.pdf The Fair Competition Commission (FCC) invites applications from suitably qualified...
View ArticleUsaili mchujo utumishi
Wadau naomba mtu anayefahamu kuhusu usaili mchujo utumishi post supplies officer,nasikia ni written,huwa wanatoa maswali ya aina gani hasa,pls jmn!
View Article