Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Hawa Tipper ni jipu

$
0
0
Hawa Tipper ni wasaani sana Wizara ya kazi iwachunguze walituita kwenye interview halafu baada ya cku moja tukapigiwa cmu interview imeahirishwa tutatangaziwa baadae baada ya week wakanipigia cmu eti pole sana haukuchaguliwa lakini tutakuweka kwenye data base yetu ikitokea nafasi. Nikawauliza interview ilifanyika lini? Kwa sababu mliiairisha na mbona humkutuarifu cku ya interview? Kumbe walikua na watu wao cku ya kuairisha interview ilikua hujuma ili waudhurie wachache ndugu zao. Naomba...

Hawa Tipper ni jipu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>