Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live

Nafasi za Kazi Kutoka Makampuni mbali mbali leo 27 April 2016

Nafasi za Kazi Pan African Lawyers Union, Application Deadline 27 Apr 2016 Job Title:Finance Intern FINANCE INTERN POSITION DESCRIPTION: The Pan African Lawyers Union (PALU) is a continental membership...

View Article


Washiriki wa interview kupitia ashinaga 100-years vision scholarship program

natafuta members walopata nafasi ya kushiriki interview kupitia ashinaga 100-years vision scholarship program

View Article


CWF na kuitwa kazini April

Naomba aliyedownload majina ya walioitwa usahili tarehe 7-9 CWF ayaweke hapa na walioitwa kazini april na utumishi.

View Article

Ushauri: Ahofia kupoteza ajira yake mpya

Kuna dada mmoja ambaye ameolewa na ana watoto wawili tayari, ameitwa kazini kwenye moja ya taasisi za fedha.Hofu yake ni kwamba anaenda kujaza mkataba wakati tayari ana ujauzito wa mwezi mmoja. Je...

View Article

Swali kwa UHAMIAJI na kwa anaejua yoyote

Swali Langu, Kamishna Mkuu wa Uhamiaji alitangaza Ajira:October,2015 na walioomba hawajaitwa kwenye usaili mpaka Leo wala kutoa majina yao ghafla Kamishna kasimamishwa kazi Je? watoto waliotuma maombi...

View Article


Waalimu Tukutane Hapa

Lengo la UZI huu ni kuwa wale wote wenye Taaluma ya Elimu na Walimu waliowai kufundisha,na wale waliowai kufundisha lakini awajasoma Elimu(Ualimu)kuanzia Cheti mpaka Profesa,Upe mpaka Klashi Lengo la...

View Article

Tofauti ya mshahara kwa wafanyakaz wa kada moja kutokana na elimu

Je kuna tofaut ya mishahara serikalin kwenye nafas moja kwa ajil tu ya elimu zao?

View Article

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA Updates Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye...

View Article


Tanzania Std Newspaper usaili lini?

TSN walitangaza nafasi za watu wa masoko lakin mpaka sasa sijasikia kama wameitwa. Yeyote mwenye taarifa.

View Article


NMB interview western zone

Wana jamvi, naulizia kama kuna kuna alieitwa kwenye hizi nafasi kwa wale waliioomba, naskia wanapiga sim tena kwa namba ya mobile

View Article

Kuna ajira gani alizosema Rais daraja la Kigamboni?

Nani anayejua kuhusu ajira kwenye daraja la kigamboni? tulimsikia muheshimiwa raisi anasema wafanyakazi zaidi ya 300 watakuwepo kwenye daraja hili.. wahusika nasikia TANROADS na NSSF kwa anayejua...

View Article

Certified Information Systems Auditor (CISA) trainers are needed

Mwalimu bingwa wa Certfied Information Systems Auditor(CISA) anahitajika kwa ajili ya kufundisha internal auditors ili waweze kufanya mitihani ya CISA. Yeyote mwenye contacts za watalaamu please...

View Article

Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview

Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview

View Article


ELECTRICIAN

habar wana jf.. Kama kuna kampuni lolote linalo jihusisha na maswala ya umeme hapa tz tafadhari naomba connection. nsije nkaoza na ka certificate kangu pamoja na trains na skills nilizo nazo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

APPOINTMENT TO THE CHAIRMAN, VICE CHAIRMAN AND BOARD MEMBERS OF THE TANZANIA...

​The Chairman of the Nomination Committee, established under section 8(1) (a) of the TCRA Act. No. 12 of 2003, invites Tanzanians with relevant qualifications as spelt out herein to apply for...

View Article


Mshahara laki 300,000

Natafuta mfanya kazi wa ndani mshahara laki tatu kwa mwezi.0765039427 au0655036815

View Article

Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

Habar zenu wajumbe, Naomba kufahamu kwa anayefahamu hawa ma C.O yani Clinical Officers wanalipwa mshahara wa shilingi ngapi kwa mwezi na majukumu yao ni nini hasa? Nawasilisha.

View Article


Elecrician natafuta kazi

habar wana JF? Kama kuna kampuni lolote linalo jihusisha na maswala ya umeme hapa Tanzania tafadhali naomba connection. Nisije nikaoza na ka certificate kangu pamoja na training na skills nilizo nazo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Appointment to the Chairman, Vice Chairman and Board members of the TCRA

​The Chairman of the Nomination Committee, established under section 8(1) (a) of the TCRA Act. No. 12 of 2003, invites Tanzanians with relevant qualifications as spelt out herein to apply for...

View Article

Kuitwa kwenye Usaili NHIF

Wadau kwa wale walioomba nafasi mbalimbali NHIF mwaka jana November hatimae hilo lundo linaloitwa orodha fupi limetangazwa. Tembelea tovuti ya NHIF ujipatie kuona. Natanguliza shukrani! LINK: CALL FOR...

View Article
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>