Nani anayejua kuhusu ajira kwenye daraja la kigamboni? tulimsikia muheshimiwa raisi anasema wafanyakazi zaidi ya 300 watakuwepo kwenye daraja hili.. wahusika nasikia TANROADS na NSSF kwa anayejua lolote kuhusu hili atujuze pls
↧