habar wana jf..
Kama kuna kampuni lolote linalo jihusisha na maswala ya umeme hapa tz tafadhari naomba connection. nsije nkaoza na ka certificate kangu pamoja na trains na skills nilizo nazo