Mpaka sasa sijapata kazi, mimi ni Food technologist
Habari zenu wakuu! Nilitoaga tangazo hapa, kuwa mimi nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini...
View ArticleNafasi za Kazi Gazeti la JAMHURI
TANGAZO: Kampuni ya Jamhuri Media Limited wachapishaji wa Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI inatangaza nafasi 2 za kazi ya uandishi wa Habari. SIFA: Mwombaji awe na Shahada ya Kwanza ya Uandishi wa Habari...
View ArticleKubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
View ArticleInaumiza sana kwa huyu Mtoto Jamani
Ana umri wa Miaka 17 hana wazazi ( yatima) toka mwezi wa 1 mwaka huu hajaenda shule mwaka huu alitakiwa awe kidato cha3 in short shule imemshinda kwa sababu zifuatazo.. 1,Hana uwezo wa kujikimu kama...
View ArticleAny new skills on demand that I should learn?
I've graduated last year and I'm unemployed. They say if you want to be very successful in life you should invest in yourself thus I chose to use this period learning new skills with the help of the...
View ArticleHaya! Changamkia 'Offer' hii ya BURE sasa. Ufanikiwe.
Ndio! Jipatie offer ya BURE ya: 1. Proforma Invoice Template 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template 6. Payment Receipt Template Kwa kila kazi...
View ArticleAdvanced Excel & Tally ERP 9 Training in Mwanza
The Computer Skills ( ComSkills) tutaendesha mafunzo ya "ADVANCED EXCEL & Tally ERP 9" Tarehe:27/06 - 01/07/ 2016 Ukumbi: PPF Plaza, 5 floor- Open University Executive Room,Mwanza-City Center...
View ArticleLooking for microfinace partner
Wakubwa Mimi ni mzoefu katika eneo hili kwa takribani miaka 10, nimefanya ndani ya benk moja kubwa hapa nchini maarufu Kama benk ya walalahoi kwa miaka 8, hivi karibuni nimebuni ka institution kamoja...
View ArticleTangazo la kazi kwa watanzania waishio China, toka 16Lao
Hamjambo washikaji wangu: Hapa nataka kuuliza kama kikiwa na mwenyeji wa tanzania au kenya wanoishi nchini china wanaotaka kupata kazi? Kampuni yangu iko mjini Beijing,nchini China, inashughulikia...
View ArticleVodacom Interview ya Sales Executive
Habari! Juzi Mshkaji wangu alipata email ya Kwenda kufanya interview ya "Sales Executive" VODACOM Co. Mlimani. Lakini alipofika hakukuwa na interview cha kwanza na pili kulikuwa na maelezo ya kazi...
View ArticleKWA MAHITAJI YA MARKETING PLAN,BUSINESS PLAN NA BUSINESS GUIDANCE KWA UJUMLA...
Wakuu habari zenu humu? Kwa wenye biashara ambazo hazifanyi vizuri kama walivotegemea au kwa wale wanaotaraji kuanzisha biashara au wale wenye mitaji na hawajui wafanye biashara gani kulingana na...
View ArticleKazi ya Uandishi katika mitandao (Social Media)
Natafuta kazi ya Uandishi na upakiaji data katika mitandao. 0652262797
View ArticleMtoto huyu anatafuta kazi yoyote halali
Ana umri wa Miaka 17 hana wazazi ( yatima) toka mwezi wa 1 mwaka huu hajaenda shule mwaka huu alitakiwa awe kidato cha3 in short shule imemshinda kwa sababu zifuatazo.. 1,Hana uwezo wa kujikimu kama...
View ArticleTunatafuta Actor/Actress To Volunteer / Muigizaji wa Kike/Kiume wa kujitolea
Hi. Tunatafuta Muigizaji wa Kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 22-27 na awe anajua sana kuigiza. SIFA ZA MWOMBAJI awe anajua sana kuigiza awe na elimu isiyopungua kidato cha Nne na kuendelea awe...
View ArticleNafasi za kazi viwandani
Wadau wa JF habari naleta kwenu ombi langu la mtu yeyote atakaeweza kunisaidia kupata kazi viwandani kwa hapa Dar, kazi iwe yoyote kiwanda chochote nifanye kazi kama kibarua
View ArticleNafasi za kazi - Mwanza kwanza
Wanahitajika wafanyakazi kwenye kampuni ya ulinzi jijini Mwanza kwanza. Personal secretary nafasi moja. Walinzi nafasi 20 Madreva wawili. Usafi nafasi 10 wasiliana nasi kwa e-mail...
View ArticleSerikali yamwaga ajira nchini
SERIKALI inatarajia kumwaga ajira kwa askari na walimu katika mwaka ujao wa fedha huku ikisisitiza walimu kwamba watakaokaidi kwenda kuripoti kwenye mikoa ya pembezoni na baadaye kuamua kuomba tena,...
View ArticleData entry (Sage Pastel Software)
Anatafutwa data entry cum Cashier anayejua vizuri kutumia hii software hasa upande wa inventory management. Ofisi iko maeneo ya Kimara wilaya ya Kinondoni Sifa: Astashahada/ stashahada/shahada ya...
View ArticleMwalimu wa Hesabu/Geog Anatafuta Ajira
Wakuu Salamu Kwenu, Kuna kaka yangu alimaliza kidato cha sita 2004 mchepuo wa EGM, hakupata bahati ya kuendelea mbele kupata shahada baada ya kupata div 3. Alipata nafasi ya kufundisha baadhi ya shule...
View ArticleKwa ma HR na watu wengine wenye uelewa naomba mawazo yenu hapa.
Kuna bwana mdogo alifanya aptitude test last week kwenye shirika moja la kimataifa.leo ametumiwa hii email ambayo yeye hajaielewa akaomba msaada kwangu Dear candidate,your marks score are 69.5% which...
View Article