Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Vodacom Interview ya Sales Executive

$
0
0
Habari! Juzi Mshkaji wangu alipata email ya Kwenda kufanya interview ya "Sales Executive" VODACOM Co. Mlimani.

Lakini alipofika hakukuwa na interview cha kwanza na pili kulikuwa na maelezo ya kazi nyengine ya "sales agent" na sio executive kama ilivyoainishwa kwenye email watu wameambiwa tu kama hauko interest nenda nje na kama unataka Baki.

Mimi naiona hii kitu haijakaa sawa kabisa watu wengine wametoka mbali mikoani.

Hii ndo email waliyomtumia

Dear Candidate,

Thank you for your...

Vodacom Interview ya Sales Executive

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>