Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Kwa ma HR na watu wengine wenye uelewa naomba mawazo yenu hapa.

$
0
0
Kuna bwana mdogo alifanya aptitude test last week kwenye shirika moja la kimataifa.leo ametumiwa hii email ambayo yeye hajaielewa akaomba msaada kwangu
Dear candidate,your marks score are 69.5% which is below average level,unfortunetely you will proceed with next level of interview.
Regards
Kinachotuchanganya wote ni kwamba wamemuambia marks zake ziko below average na wkt huo huo wanamuambia ataendelea na next stage ya interview.kuna aliyeelewa tofauti hapo,maana wengne kiinglish ni shida.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>