Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa kubadilishana nao kwenye nyuzi mbalimbali, tumeona ni vema kukawa na uzi mmoja ambao utawakutanisha wadau wote wenye mahitaji yanayofanana.
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, kuweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni...
Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo