Habari zenu wakuu,
Kuna sehemu nili apply nafasi ya kazi, nimetumiwa email na wamesema niwatumie hiyo psychometric CPC score,
Ni nini hiyo kitu wakuu?
Ni kipimo cha hospital au?
Shukran