Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Nataka kuacha kazi, ushauri tafadhali!

$
0
0
Nilibahatika kuajiriwa katika moja ya kampuni ya wahindi miaka mitatu na nusu iliyopita baada ya kukaa nyumbani bila kazi kwa mwaka mmoja na nusu tangu kuhitimu chuo kikuu.

Nilianza na mshahara wa laki tano (net salary) lakini kwa sasa nakaribia milioni moja (net salary).Kampuni hiyo ni ya kifamilia zaidi,wakati naajiriwa kulikuwa na Managing Director mwanaume ambaye pia ndiye mwanzilishi wa Kampuni hiyo.Kwa bahati mbaya,mwanzoni mwa mwaka jana MD huyo alifariki dunia (R.I.P) na sasa...

Nataka kuacha kazi, ushauri tafadhali!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>