habarini wakuu!
Nilitoa tangazo hapa kuwa natafuta kazi yoyote ile iliyo halali elimu yangu Bachelor of science in food science and technology. Lakini mpaka sasa sijapata kazi yoyote ya kuuniingizia kipato na hapa nilipo nimehifadhiwa kwa rafiki, muda wowote akirudi mkewe naondoka mambo yamezidi kuwa magumu kwangu kila nikifikiria. Naombeni msaada wenu kwa mwenye kazi, kwa anaejuwa sehemu inayohitaji mfanyakazi kwa sasa, Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa Tanzania....
Mrejesho kazi