Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live
↧

Especially in Tanzania

Ndo kibongo bongo hvo,, tusokuwa na wa kututuma tuanze kusaka mavisa twende nchi za watu tuu

View Article


Fundi wa Computer ( Hardware & Software)

Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..kwa...

View Article


Nmb interview western zone

Wana jamvi, naulizia kama kuna kuna alieitwa kwenye hizi nafasi kwa wale waliioomba, naskia wanapiga sim tena kwa namba ya mobile

View Article

Nmb interview western zone

Wana jamvi, naulizia kama kuna kuna alieitwa kwenye hizi nafasi kwa wale waliioomba, naskia wanapiga sim tena kwa namba ya mobile

View Article

Nawaza tu lakini

Hivi umehangaika muda mrefu kutafuta kazi, baadaye umepata kwa tabu sana tena serikalini ile unaanza tu inatokea bahati mbaya anko Magu anakutumbua au umepata private ile umeanza tu baada ya miezi...

View Article


Jamani hii ni ajira au utapeli?

NIMETUMIWA HII KWENYE EMAIL MSISITIZO KWENYE RED Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has...

View Article

Nafasi za kujitolea

NAFASI ZA KUJITOLEA Je, wewe ni kijana uliyehitimu masomo yako kuanzia kidato cha sita (6) mpaka chuo?! Au bado ni mwanafunzi chuoni?! Je, Una ndoto kubwa na hamasa ya kutengeneza ajira yako kupitia...

View Article

Fursa- ujasiriamali, Kuprint majina kwenye jezi za soka kisasa

Habari wadau. Najua vijana wengi kuna mwamko wa kijasiriamali, kuna mashabiki wengi wa mpira nchini ambao wanapendelea kuvaa jezi za timu zao za ulaya, mitaani, vyuoni, mikoani etc. binafsi nimejiajiri...

View Article


NHIF kuna nini?

Habari wana Jamvi, Mnamo tarehe 07/03/2016-10/03/2016 kulifanyika saili ulioendeshwa na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) na kuahid kutoa mrejesho/matokeo ndani ya wiki mbili leo mpaka ivi leo hakuna jipya...

View Article


Wadau nimeitwa kwenye usaili lakini naambiwa nitoe 25,000 ya kujisajili

Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has fianlly made a final deciosion of calling you for a...

View Article

Pata ajira bila kufanya Interview

Habari wana jamii forum,ile kampuni bora kwa uchimbaji wa visima (Tawa Water Proffesional) inatangaza nafasi za kazi kwa wale wataopenda kufanya kazi na sisi. Kikubwa utaitajika kutafuta wateja...

View Article

Anayejua habari za JKT

Wakuu mwenye kujua habari za JKT kujitolea 2015 Atujuze. Mbona sisi tunaofanyiwa mipango mwaka huu wametuchelewasha kuingia kambini? Na wakati wenzetu mafunzo teali wameshaanza.. unakuta mtu...

View Article

Hivi NECTA wameita watu kwenye interview

Update

View Article


Kuitwa kwenye Usaili NHIF

Wadau kwa wale walioomba nafasi mbalimbali NHIF mwaka jana November hatimae hilo lundo linaloitwa orodha fupi limetangazwa. Tembelea tovuti ya NHIF ujipatie kuona. Natanguliza shukrani! LINK: CALL FOR...

View Article

Maandalizi na changamoto za usaili (interview).

Habari zenu wadau, Kutokana na changamoto za maisha suala la kujiajiri au kuajiriwa ni la mtu binafsi, hivyo kwa wale waliochagua kusubiri kuajiriwa mara nyingi suala la usaili (interview) halikwepeki,...

View Article


Rafiki yangu amesoma kilimo anatafuta kazi

kwa yeyote ambaye anaweza kumsaidia amehitimu certificate ya kilimo namba yake ni 0752510642, nataguliza shuranni zangu.

View Article

utaratibu wa usaili kuita watu wengi kuania nafasi moja ya ajira

Kuna utaratibu uliozoeleka kwa taasisi za serikali kuita wasailiwa wengi kwa nafasi moja.Utaratibu huu binafsi naona hauna tija zaidi ya kuongezea gharama kubwa wasailiwa.Kwa mfano unakuta usaili...

View Article


Msaada kupata internship TANESCO

habari ndugu zangu mm ni kijana mwenye technician certificate nliochukulia katika chuo cha MUST (mbeya institute).Shida yangu kuubwa ni kuulizia ni kwa namna gani naweza kupata internship tanesco......

View Article

Nahitaji kazi,Msaada wenu Wakuu

Habari zenu wakuu? Kichwa cha habari chahusika. Mimi ni msichana wa miaka 25 nina elimu ya ugavi ngazi ya cheti niliyosomea chuo cha CBE DSM. Nina uzoefu wa kufanya biashara za watu binafsi kwa miaka...

View Article

Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview

Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview Utumishi wa Mahakama wataita lini waliofaulu Interview

View Article
Browsing all 14968 articles
Browse latest View live