Tangazo la kuitwa kwenye usaili
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Serikali, na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MDA’s na...
View ArticleJiajiri na ORIFLAME
Unataka kupendeza???? ,kuondoa makunyazi?manyama uzembe je??uzeee??? Oriflame inakupa hii fursa kwa kutengeneza ngozi yako kwakutumia vipodozi asilia visivo na kemikali amabvo vitakuwa sambamba na...
View ArticleDarasa la computer
Jamani naombeni kwa anaefahamu sahemu nzur wanayotoa kozi za computer ila mi nahitaji kwa ID printing tu.
View ArticleExpart Linkers, hawa ni matapeli?
Hawa jamaa EXPART LINKRS walitoa nafasi nyingi za kazi iv majuz ila ajabu wame shortlist watu alafu wanadai interviewee aje na 25,000/TSH ..jaman hawa ni majipuu
View ArticleVijana tujiajiri, muda wa kuajiriwa umekwisha
Habar za sasa, katika pitapita zangu nmekutana na hii story nkaona niwashirikishe vijana wenzangu, mimi ni consultant wa oriflame, kampuni inayodeal na bidhaa za urembo, na mara nyingi...
View ArticleMwenye uelewa na Performance Management Tools ambazo ni common kwa Makampuni...
Kwa sasa nafahamu OPRAS ndio inayotumika sana hususani upande wa serikalini yan MDA's na LGA's, Je kuna zipi nyingine ambazo zinatumiwa na makampuni ama taasisi nyingi kwa Tanzania mwenye uelewa wa hii...
View ArticleJihadhari na utapeli wa kupatiwa ajira
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUIBUBUKA KWA MAKUNDI YA UTAPELI. Katika siku za hivi karibuni katika maeneo mbalimbali hapa nchini, kumejitokeza makundi ya watu ama mtu binafsi...
View ArticleUsaili NECTA ni lini?
Hiv hawa jamaa wa NECTA wameishatoa majina ya usaili katika post yao ya kazi tarehe 8 February 2016 . plz km in a information yeyote share nami
View ArticleTRA Customs Assistants 2016
Habari wadau! TRA walitangaza nafasi mwanzo wa mwaka huu! Nahitaji kujua kama kuna watu wameshapata any updates regarding those posts! Ahsante!
View ArticleNafasi za Kazi
Habar Vijana wenzangu, nahtaji Vijana Wa Kufanya nao Kazi ya kuuza sabuni za alovera na manjano kwa hapa dar, kwa ambao wako tiyar mnakaribishwa sana piga 0654957658
View ArticleNi nani anaerudisha mtumishi kwenye payrol?
Kumekuwa na sintofahamu nani anaerudisha mtumishi kwenye payrol kama ni katibu mkuu elimu tamisemi au katinu mkuu wizara ya elimu au wote wanamamlaka.msaada hapo
View ArticleAjira serikalini kwa sasa kimya
Naona mwaka huu ajira zimechelewa sana.. Sijui itakuwaje maana hata za Afya zinazowahi kutoka azieleweki lini zitatoka hatari sana
View ArticleNatafuta kazi
Nina degree ya food science and technology, kwa yeyote mwenye nafasi naomba anisaidie nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.Natanguliza shukrani.
View ArticleMUHAS hawako fair kabisaa!!
J4 kulikuwa na written interview pale chuo cha Muhimbili (MUHAS) Nimeingia kwenye pepa nkakuta 98% ya maswali yote nayajua na nikayajibu ki ufasaha na kujisemea kuwa lazima oral niwemo, in short ule...
View ArticleMsaada wa jinsi ya kutuma barua ya kazi kwa njia ya barua pepe (e-mail)
Jamani hivi ukiandika barua ya maombi ya kazi huwa ukishamaliza kuiandika kwenye Microsoft word unai-copy halafu unai-paste kule kwenye e-mail kwenye chmba cha ujumbe? Au unai-attach kama CV au...
View ArticleKazi inatafutwa
Habari zenu jamani Mimi hapa natafuta kazi yoyote iliyo halali hata ya kuuza duka la vyakula sawa maana hapa nilipo sina hata sehemu ya kulala nimehifadhiwa kwa rafiki yangu. Nipo dar ni mwanaume elimu...
View ArticleNafasi ya kazi lodge
KIJANA WA KAZI ANATAFUTWA ASIYE ZIDI UMRI WA MIAKA 25, NA AWE NA ELIMU ISIYO PUNGUA FORM FOUR Contacts: 0719317115
View ArticleNatafuta nafasi ya uwalimu Wa masomo ya hesabu na uhasibu
Mimi ni Mwalimu Wa hesabu na uhasibu Kwa o level na A level,natafuta nafasi ya masomo hayo Kwa mkoa Wa morogoro na dar es salaam.napatikana Kwa kupitia namba 0714411927/0755942150
View ArticleNafasi ya kazi kwa mtu mwaminifu sana
Kwanza, naomba kuwashukuru wote walioonesha interest na kazi hii. Pili, sasa naomba nitoe ufafanuzi kiasi kuhusu kazi yenyewe: Kazi inahusu biashara ya mifugo na bidhaa zake (sio nguruwe), eneo la...
View Article