Habari zenu wakuu?
Kichwa cha habari chahusika.
Mimi ni msichana wa miaka 25 nina elimu ya ugavi ngazi ya cheti niliyosomea chuo cha CBE DSM.
Nina uzoefu wa kufanya biashara za watu binafsi kwa miaka mitatu,biashara hizo ni kama duka la nguo n.k
Ni muaminifu,mkarimu na mchapa kazi.
Pia nina ujuzi wa kusuka nywele za mikono.
Naomba msaada wa kazi yoyote halali yenye mshahara usiopungua laki 3 kuendana na hali ngumu ya maisha ya sasa.
Yeyote atakayeweza kunisaidia anifuate faragha (P.M) kwa...
Nahitaji kazi,Msaada wenu Wakuu