Quantcast
Channel: Jukwaa la Ajira na Tenda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

MUHAS hawako fair kabisaa!!

$
0
0
J4 kulikuwa na written interview pale chuo cha Muhimbili (MUHAS) Nimeingia kwenye pepa nkakuta 98% ya maswali yote nayajua na nikayajibu ki ufasaha na kujisemea kuwa lazima oral niwemo, in short ule mtihani ulikuwa rahisi sana kwangu

Cha ajabu kuja kuchek majibu kati ya walioitwa oral SIPO

Nilikuwa dissapointed sanaa mpk nafikiria kuwafata kuwauliza what happened, au wadau mniambie hatua gani unaeza fata endapo hujaridhika na matokeo yao mana ht marks hawaoneshi, wenyewe wanatoa namba tu....

MUHAS hawako fair kabisaa!!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 14968

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>