$ 0 0 Habari zenu wadau? Naomba kuuliza mshahara wa laboratory technician mwenye ngazi ya cheti ,mshahara wake unaweza kuwa shilingi ngapi kwa mwezi?