Natafuta kazi ya kujitolea, eneo la kazi liwe airport
Mimi kijana wa miaka 22 natafuta kazi ya kujitolea kampun yoyote iliyopo airport mimi nimesomea mambo ya clearing and forwarding pamoja na information technology ngazi ya cheti ntafute kwenye email...
View ArticleHandshake kwenye Interview
Nimeitwa kwenye interview kesho asubuhi na mapema. Nahitaji kujua kwamba je kuna umuhimu wowote wa kutoa handshake baada ya kufungua mlango na kuingia ndani, na kukutana na interviewer? Na usipotoa...
View ArticleNafasi ya kazi kwa mtu mwaminifu sana
Kwanza, naomba kuwashukuru wote walioonesha interest na kazi hii. Pili, sasa naomba nitoe ufafanuzi kiasi kuhusu kazi yenyewe: Kazi inahusu biashara ya mifugo na bidhaa zake (sio nguruwe), eneo la...
View ArticleNatafuta kazi ya stationary
Elimu:FORM IV pia nimesomea computer,nina Uzoefu zaid 3yrs nikifanya Stationary,Internet na PASSPORT SIZE No.0673306352
View ArticleAdvanced Excel & Tally ERP 9 Training in Mwanza
The Computer Skills ( ComSkills) tutaendesha mafunzo ya "ADVANCED EXCEL & Tally ERP 9" Tarehe:27/06 - 01/07/ 2016 Ukumbi: PPF Plaza, 5 floor- Open University Executive Room,Mwanza-City Center...
View ArticleNafasi za kazi TANROADS Arusha
habari wadau jaribuni kucheki fursa izo kwa atae guswa ajaribu kutuma
View ArticleUbaguzi Bodi ya mapato Zanzibar (ZRB)
Kama mnayofahamu Bodi ya mapato Zanzibar ipo chini ya Wizara ya Fedha ya Tanzania na ni sehemu ya Muungano wetu.. Cha ajabu na kushangaza Bodi hii imetangaza Nafasi za Ajira ila kigezo lazima uwe na...
View ArticleNatafuta kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato
Habar zenu Wana jf mm ni kijana wa kitanzania nimejitokeza kwenu kuomba Kazi yyt halal ya kuniingizia kipato. 0654957658
View ArticleKazi ya Cashier (Pharmacy Store)
Nimepata kazi ya Cashier pharmacy store baada ya mda mrefu kuhangaika bila mafanikio kama miaka miwili na miezi 3 though nilifanya Fanya zingine na kuacha ila sizihesabu naombeni mnitie moyo nifanye...
View ArticleZimamoto wamezima usaili kisa hiki hapa
zimamoto waliokuwa wafanyiwe usahili tar20 april 2016 ghafla bin vuu mara wakasitisha hiki ndio chanzo kutoka kwa taarifa zilizofuja kikosini makao makuu iko hv majina walioomba nafasi za konstebo...
View ArticleSMZ acheni ubaguzi kwenye nafasi za kazi
Sabakher Wadau; Leo Katika Pita Pita Zangu Nikapita Zoom Kwenye Nafasi Za Kazi! Nafasi Kibao Zipo Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar! Sasa Kwenye Requirements; 1.AWE RAIA WA ZANZIBAR. Duh! Jaman Kumbe...
View ArticleMwalimu commercial bank ilikuwa kiini macho au?
Nafasi zilizotangazwa na mwalimu commercial bank zilikuwa kiini macho? maana mpaka sasa kimya hakuna jipya!
View ArticleMajina ya watu waliofanya usaili 19/04/2016
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 19-04-2016 Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) KADA: CHEMIST II MWAJIRI: GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCY...
View ArticleAnayejua habari za JKT
Wakuu mwenye kujua habari za JKT kujitolea 2015 Atujuze. Mbona sisi tunaofanyiwa mipango mwaka huu wametuchelewasha kuingia kambini? Na wakati wenzetu mafunzo teali wameshaanza.. unakuta mtu...
View ArticleTunahitaji kazi ya Kufundisha Biolojia Na Chemia Shule za Binafsi
Habari Wadau Sisi ni walimu tarajali, tunategemea kuhitimu Chuo miezi mitatu ijayo Tumebobea Kwenye masomo ya Chemia Na Bilojia toka UDOM tunaomba Kama kuna sehemu kuna uhitaji wa Walimu Wa aina hii...
View ArticleFursa- ujasiriamali, Kuprint majina kwenye jezi za soka kisasa
Habari wadau. Najua vijana wengi kuna mwamko wa kijasiriamali, kuna mashabiki wengi wa mpira nchini ambao wanapendelea kuvaa jezi za timu zao za ulaya, mitaani, vyuoni, mikoani etc. binafsi nimejiajiri...
View ArticlePata ajira bila kufanya Interview
Habari wana jamii forum,ile kampuni bora kwa uchimbaji wa visima (Tawa Water Proffesional) inatangaza nafasi za kazi kwa wale wataopenda kufanya kazi na sisi. Kikubwa utaitajika kutafuta wateja...
View ArticleRafiki yangu amesoma kilimo anatafuta kazi
kwa yeyote ambaye anaweza kumsaidia amehitimu certificate ya kilimo namba yake ni 0752510642, nataguliza shuranni zangu.
View ArticleHivi kuna form six mwenye division 2 ni office attendant serikalini?
embu mwenye taarifa hizo anijuze.kama hawa watu wapo na waliwezaje kuvuka interview
View Article